Gari lililobeba mwili wa Marehemu Nyaga Mawala

Nyaga Mawalla Mwanasheria Maarufu sana Jijini Arusha aliyefariki huko Nairobi Kenya amezikwa jana katika makaburi ya langata mjini Nairobi.