Showing posts with label Michezo. Show all posts

Where to find the tennis stars during Wimbledon

When the last serve has been drawn and game, set and match has been called for the day at Wimbledon, the spectators – as well as the tennis stars themselves – head out for a drink and a bite to eat.

While you take a break from centre court during the oldest tennis tournament in the world, make sure it's in one of the favourite spots of tennis greats such as Andy Murray, Maria Sharapova, Venus Williams, Rafa Nadal and Roger Federer...
wimbledon
Cambio del Tercio, South Kensington

Rafa Nadal has said of this spectacular Spanish restaurant: "I love this restaurant... I always go...when I'm in London."

True to his word, the tennis player shared a snap on Twitter of him smiling at the restaurant on 20 June with a dessert in the form of a tennis ball. Rafa, 27, wrote: "Who wants to taste?"

San Lorenzo Fuoriporta, Wimbledon Hill Road

With wonderful traditional Italian food and a classy setting it's no wonder this restaurant is a favourite with celebrities and has been feeding some of the world's greatest tennis players since 1969... "No other restaurant has felt like this to me," said Boris Becker of the top joint. The night before the tennis great won Wimbledon at just 17 years old, he ate steak at this restaurant. Andre Agassi went to the restaurant on the eve of winning Wimbledon.

Nobu, Berkley Street, Mayfair

Andy Murray is said to have eaten up to 50 pieces of sushi in one sitting at Nobu, one of London's most fashionable restaurants. He's not the only tennis star to stop off at the famous Japanese eaterie – many other tennis players including Daniela Hantuchova, Ana Ivanovic and Laura Robson are also regulars at Nobu.

Zuma, Knightsbridge

Maria Sharapova reportedly loves the sophisticated Zuma restaurant for its tasty Japanese food.

Fire Stables, Wimbledon Village

Tucked away from the main hub of Wimbledon village, the Fire Stables offers traditional English pub food and real ale to those seeking shade after an afternoon of tennis... just what players and spectators need to round off the perfect day out in Wimbledon.

Halepi, Bayswater

Run by a Greek family, this authentic restaurant offers yummy dishes with quality produce, including fish brought in from Cornwall on a daily basis and Aberdeen Angus Grass Fed Beef. Venus Williams has said that she loves the hummus at this Greek restaurant.

Cote restaurant, Wimbledon Village, Earls Court

A modern take on a Parisian bistro, this lovely little find offers classic French dishes such as steak with frites, moules marinières and corn fed chicken from the heart of rural Brittany. Italian tennis player Francesca Schiavone has dined in Cote restaurant, Wimbledon Village.

Nando's Knifegate Scandal

Nando's steak knife carrying ways kicked off a round of conversation in both the Ruby and Diamond Houses.
Nando sat quietly in a corner after being punished by Big Brother for carrying a weapon to the Channel O party. However, the same can't be said about his opinionated fellow Housemates.
Beverly told Selly "You must go to the Rendezvous Room for your date with Nando with a knife of your own. Clearly, people are walking around the House like we're in the hood. I feel like I'm watching a movie", she said.
Birthday boy Melvin, whose main mission is to spread love and have fun, especially considering that today is his day, was clearly not impressed. "We're here for fun, not to stab people". Annabel seemed more concerned with what might be happening on Big Brother's social pages. "I'm positive Nando and his knife are trending on Twitter right now", she said with a giggle.
Hakeem also weighed in on the issue and seemed to understand where Nando was coming from. "Nando loves knives. He always carries one around and he's never threatened anyone". The Zimbabwean also conceded how shady the whole scene looked because Nando wasn't looking Sulu in the eye. Maria on the other hand came in with an opposing view. "My first impression is that he was scared and he wanted to protect himself. I didn't even know Nando carries knives", she said.
The Housemates seemed to reach a consensus that Nando had carried the knife to the Channel O party, in case Sulu tried to lunge at him, after he spent some time with Selly in the Rendezvous Room and subsequently, in the bedroom.
What do you think of Nando carrying a knife to the party?
By Ngeti Dlamini

TBL FAMILY DAY YANOGA

 Wasanii wa kikundi cha  sanaa cha Afrigay Talent Base cha Magomeni Dar es Salaam, kikitumbuiza wakati wa hafla ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tvanzania (TBL), kufahi pamoja na familia zao Kunduchi Water Park, Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Fedha wa TBL, Kelvin (kulia), akimkabidhi George Magombeka zawadi ya saa ya ukutani baada ya kuwa mshindi wa riadha katika bonanza hilo la kukata na shoka lililofanyika Kunduchi, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Meneja Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo (kulia) akimkabidhi zawadi  .Mbwana Milanzi baada ya kuwa mshindi wa kwanza wa mbio za magunia katika hafla ya Siku ya wafanyakazi wa TBL kufurahi na familia zao kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam.
 Meneja Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo  akimkabidhi zawadi  .mmoja wa washindi wa riadha kwa upande wa wananwake. Kulia ni Mhandisi Ujenzi wa TBL, John Malisa.
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kucheza kushindana kuvuta kamba katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam, wakati wa sherehe 'Tbl's Family Day'.
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kucheza soka katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam juzi, wakati wa sherehe 'Tbl's Family Day'.

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kushindana mbio za magunia katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam, wakati wa sherehe 'Tbl's Family Day'.
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kushindana mbio za magunia katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam juzi, wakati wa sherehe 'Tbl's Family Day'.
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kucheza mpira wa wavu katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam, wakati wa sherehe 'Tbl's Family Day'.

 Watoto wa familia za wafanyakazi wa TBL, wakifurahi kwenye moja ya mabwawa ya kuogelea.

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kushindana kucheza mpira wa kikapu ndani ya maji eneo la  Kunduchi Dar es Salaam juzi, wakati wa sherehe 'Tbl's Family Day'.
 Meneja wa Kiwanda cha TBL, Dar es Salaam, Calvin Martine akimkabidhi zawadi mmoja wa watoto waliofanya vizuri kwenye michezo.
 Mmoja wa watoto akichorwa usoni wakati wa hafla hiyo.

                                                          Sasa ni wakati wa maakuli.

                                                        Ni msosi kwa kwenda mbele.
 Muziki wa dansi nao haukukosa.
Wakishuhudia mambo burudani mbalimbali zilizokuwa zinatolewa katika hafla hiyo.

BAADA YA OMMY DIMPOZI KUPIGWA NA CHUPA NA MAWE DODOMA ,HATIMAYE AFUNGUKA SOMA ALICHOANDIKA HAPA

Diamond aahidi kumfunika vibaya prezzo shoo ya usiku wa matumaini 2013

MKALI wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’ ametamba kufanya shoo kali ikiwemo kumfunika msanii wa Kenya, Prezzo katika Tamasha la Matumaini 2013 litakalofanyika Sikukuu ya Sabasaba kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Diamond ametoa majigambo hayo wakati wa mahojiano na Mtangazaji wa kituo cha Star TV, Sauda Mwilima.
“Nimeahidi kufanya bonge la shoo kwenye Tamasha la Matumaini siku hiyo, mashabiki wangu na wapenzi wa muziki wajitokeze kwa wingi.
“Ninataka kudhihirisha ubora wangu siku hiyo kwa kumfunika vibaya Prezzo,” alisema Diamond.
TOA MAONI YAKO HAPA

Bongo Star Search hiyo tena, Mikoa hii hapa imedondokewa na neema ya BSS

Kampuni ya simu za mikononi ya Zantel, leo imezindua msimu mpya wa shindano la kuimba la Epiq Bongo Star Search, mwaka huu ikiwa imejipanga kuwapa vijana wengi zaidi fursa ya kuonyesha na kuendeleza vipaji vyao.
Msimu huu mpya,ambao utakuwa msimu wa saba toka shindano hilo lianzishwe mwaka 2006, unatarajiwa kujumuisha wadau wakubwa wa muziki, hivyo kusaidia kuwajenga washiriki kwa kuwapa ujuzi zaidi pamoja na kuwajengea ushirikiano utakaowasidia kuendeleza kazi zao za muziki baada ya mashindano.

Shindano la mwaka huu litakuwa na kauli mbiu ya ‘KAMUA’ ikimaanisha kutumia uwezo wako wote katika kufanya kile unachopenda, litaenda kufanya usaili kwenye mikoa sita ya Mbeya, Arusha, Zanzibar, Mwanza, Dodoma na Dar es Salaam.

Kwa mwaka jana shindano la Epiq BSS lilipata mafanikio makubwa hasa kwa idadi kubwa ya vijana kujitokeza kufanya usaili, na kubwa zaidi ikiwa ni vijana wote walioingia kumi na mbili bora kufanikiwa kutoa nyimbo zao ambazo zimefanya vizuri.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa shindano hilo, Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark Production, Rita Paulsen amesema mwaka huu wana mpango wa kuwafikia vijana wengi zaidi lakini pia kutengeneza wasanii nyota wengi zaidi ukiacha mshindi. “Sote ni mashahidi wa namna shindano hili lilivyopata mafanikio toka ilipozinduliwa miaka saba iliyopita, na hakika kila mwaka tumekuwa tukisogea mbele zaidi, na mwaka huu mpango wetu ni kuzalisha wanamuziki watakaofanikiwa wengi zaidi’ 

Shindano la mwaka huu pia litakuwa na vitu vingi vipya, ikiwemo ongezeko la jaji mmoja katika usaili wa mikoani, ambapo jaji huyo atakuwa ni mdau wa mziki kutoka mkoa husika. ‘Kwenye kila mkoa tutakakoenda kufanya usaili tutakuwa na jaji mwenyeji ambaye tunaamini atasaidia kuongeza ladha ya machaguo ya vipaji na hivyo kuhakikisha tunapata vipaji aina tofaouti’ alisema Paulsen.

Naye Afsa biashara Mkuu wa Zantel, Sajid Khan amesema uzinduzi huu wa leo ni furaha kubwa kwa kampuni ya Zantel kwani unaashiria ufunguzi wa milango ya kuwasaidia vijana wengi wa kitanzania kutimiza ndoto zao.
Kwa mwaka jana pekee Epiq BSS ilifanikiwa kusaili vijana zaidi ya elfu hamsini, jambo ambalo linaonyesha kitu kimoja, kuna uhitaji wa kuwekeza zaidi katika kuwaendeleza vijana’ alisema Khan.

Ikitekeleza ahadi yake ya kuwasaidia vijana baada ya shindano, kampuni ya Zantel iliwarekodia wimbo mmoja mmoja washiriki wote waliongia kumi na mbili bora, ikiwa ni pamoja na kuwapa ziara ya kujitangaza kwenye mikoa mitatu.  ‘Tumefanikiwa kuwajengea vijana hawa msingi wa kazi yao ya muziki, na tuna furaha kusema wengi wao hadi sasa wanafanya vizuri, na huu ndio aina ya udhamini kampuni ya Zantel inapenda kujihusisha nao’ alisisitiza Khan.

Mshindi wa mwaka huu pia atajinyakulia milioni hamsini pamoja na mkataba wa kurekodi. Katika kuwapa fursa vijana ambao hawatafikiwa na majaji, Zantel pia itafungua laini za kurekodi kwa simu toka siku ya kwanza ya kuanza usaili mikoani, ambapo washiriki watapiga namba 0901551000 ili kujirekodi kwa njia ya simu, au kutuma neno KAMUA kwenda 15530 kupata maelezo zaidi.

Usaili utaanzia Dodoma tarehe 29 and 30 ya mwezi huu katika ukumbi wa Maisha Club, ikifuatiwa na Zanzibar tarehe 5 na 6 mwezi wa saba katika hoteli ya Bwawani. Mbeya usaili utakuwa tarehe 10 hadi 11 mwezi wa saba pale club Vybes, Mwanza tarehe 14 hadi15 mwezi wa saba Club Fussion, na Arusha itakuwa tarehe 20 hadi 21 mwezi wa saba Club Tripple A ikimalizikia na Dar es Salaam tarehe 26  hadi 28 pale Uwanja wa Taifa.

Lundenga amtimua mrembo jukwaani kwa kuvaa nusu utupu

MWENYEKITI wa Kamati ya Mashindano ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga Jumamosi iliyopita alimtimua mshiriki wa shindano la Redd’s Miss Morogoro 2013, Saphina Chumba (20) jukwaani wakati shindano hilo lilipokuwa likiendelea.
Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita katika Ukumbi wa Hoteli ya Kitalii ya Nashera mjini hapa wakati mrembo huyo alipokuwa akiwania kuvaa taji la mkoa huo.

Kisa cha mrembo huyo aliyevalia namba 5 kutimuliwa ni kukiuka maadili na kanuni za mashindano hayo kwa kuvaa nusu utupu mbele ya mgeni rasmi ambaye alikuwa Mbunge wa Kilosa, Mustapha Mkulo na mbele ya Kamati nzima ya Miss Tanzania.
Baada ya kuona jinsi alivyovaa, Lundenga na kamati yake walikubaliana kumtimua mshiriki huyo kwa kumwita Jaji Mkuu wa shindano, Alex Niktasi na kumtaka amuondoe haraka.
Mbali na Chumba, pia jaji alimtimu mrembo mwingine aliyevalia namba 8, Neema Joel (20) kutokana na kushiriki shindano  hilo mara mbili mwaka huu, inadaiwa mara ya kwanza alishiriki mkoani Arusha.
Lundenga alipohojiwa na mwandishi wetu alisema kamati yake inataka kuendeleza nidhamu tangu ngazi ya chini, hivyo hawawezi kuruhusu utovu wa nidhamu.

Hiyo Jana kwenye Msiba wa Langa Kileo Mikocheni Jijini Dar es Salaam.

LANGA1

UPDATE: WAOMBOLEZAJI WAANZA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU LANGA!

Jun 17 • Wasanii • 492 Views • No Comments

Mwili wa Langa Kileo ukiwa nyumbani kwao Mikocheni Jijini  Dar.
Langa enzi za uhai wake.…
 
Langa enzi za uhai wake.

Ndugu wa marehemu wakiaga.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Langa.
Ridhiwan Kikwete (kushoto) akiwa msibani.
Taratibu za mazishi ya msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Langa Kileo zimeanza rasmi ambapo leo asubuhi ameagwa na familia yake nyumbani kwao Mikocheni Jijini  Dar. Waombolezaji wengine watapata muda wa kumuaga mwanamuziki huyo saa 7 mchana na mazishi yanatarajiwa kufanyika Makaburi ya Kinondoni jijini saa 9 alasiri.

Jide alifunika kwenye show yake ya miaka 13

Matukio ya picha kwenye miaka 13 ya Jide.

Lady Jay Dee and her mother