Showing posts with label Biashara. Show all posts

'IDD AZZAN HAUZI UNGA'

WAKATI Jeshi la Polisi Tanzania likiweka bayana kwamba, linamchunguza Mbunge wa Kinondoni kwa ‘leseni’ ya CCM, Mheshimiwa Idd Mohamed Azzan kama kweli anajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya, baadhi ya wapiga kura wake wameibuka na kuthubutu kusema kiongozi huyo hauzi unga.
Wakizungumza na Uwazi juzi Bamaga, Mwenge jijini Dar, wapiga kura hao kutokea CCM, walisema madai kwamba mbunge wao ni mfanyabiashara wa ‘unga’ yamewashangaza sana.
Walisema haiingii akilini hata kidogo kwa mtu ambaye amepata utajiri wake huku majirani wakimuona halafu aangushiwe kashfa ya kufanya biashara hiyo haramu.
“Sisi hapa (Magomeni Makanya) tunamjua Idd tangu zamani akiwa kijana mdogo. Alikuwa na teksi akiwa anaendesha mwenyewe, akaja akanunua ya pili.
“Mwaka 1986 aliziuza, akanunua daladala aina ya Costa, akawa anaendesha mwenyewe, tena ilikuwa inafanya safari za Pugu Kariakoo, akaja akanunua lori, akawa anaendesha mwenyewe,” alisema mzee Mussa, mkazi wa eneo hilo.
Naye Bakari au maarufu kwa jina la Jabu, alisema yeye anakumbuka mwaka 1986, mheshimiwa akiwa anasaka maisha alifanya biashara ya kupeleka redio Bujumbura nchini Burundi kisha anarudi na mashati yalikuwa maarufu kwa jina la Juliana, anauza Dar, tayari kipindi hicho Idd  ana fedha zake.
“Sasa leo wanapozuka watu na kusema anauza dawa za kulevya, tunashangaa sana. Sisi majirani zake achilia mbali kuwa wapiga kura wake tungejua.
“Watu wanaojazana nyumbani kwake kabla hajaamua kuikarabati hii nyumba hapa wengi ni wale wenye matatizo, wanaomba msaada,” alisema mzee huyo.
Mzee mwingine, Hussein alisema anakumbuka mwaka 1989, yeye alikuwa shahidi wakati Azzan alipokopeshwa semi trela aina ya Mercedes Benz na kaka yake kwa makubaliano ya kumlipa fedha mwaka 1992.
“Azzan alikubali masharti hayo, akawa anaendesha mwenyewe kwenda nje ya nchi. Alikuwa akienda Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi mpaka Kongo.
“Na alikuwa akirudi anatubebea zawadi za chakula wazee wake kwa sababu ya ukaribu, mwaka elfu moja mia tisa na tisini na mbili alilipa deni, semi trela ikawa yake na akanunua jingine kama hilo.
“Nakumbuka kuna mwaka alipata ajali mbaya sana kule Ngara, akaumia na kulazwa, tukapata taarifa.
“Alipotoka akaamua kuanzisha Kampuni ya Azzan Investment na kununua mabasi mengi ya kukodisha, ndivyo ninavyojua mimi asili ya utajiri wa huyu bwana. Azzan hauzi unga bwana,” alisema mzee huyo.
Siku hiyohiyo, Uwazi lilimtafuta kwa simu Mheshimiwa Azzan na kumuuliza kama anawajua wazee hao ambapo alisema ni wazee wake anaowaheshimu sana, lakini akaomba asiongee kwa undani sana kwa vile alikuwa kikaoni.
Hivi karibuni, mtu mmoja aliyedai yupo jela Hong Kong, China kwa ishu ya unga aliandika majina ya watu aliodai ndiyo wafanyabiashara wa madawa ya kulevya na kuyatumbukiza majina hayo mtandaoni. Miongoni mwa majina hayo limo la Idd Azzan.

WEMA SEPETU APOTEZA MVUTO....MIKOROGO YAMUATHIRI....MICHIRIZI YAANZA KUPANDA USONI

Matumizi mabaya ya vipodozi yameanza kumuathiri  wema  Sepetu  ambaye  ni  miss Tanzania  2006..
Wema  ambaye umri wake bado  haujamtupa  , hivi  sasa  anakabiriwa na tatizo la  ngozi  kutokana  na michirizi  kusambaa  mwili mzima  hasa  mapajani....
 Kamera  zetu  si  mara  ya  kwanza  kumshuhudia  Mrembo  huyu  akizingirwa  na  uzee  kwani  miezi  kadhaa  nyuma  tuliwahi andika  habari  inayofanana  na  hii  lakini  ikielezea  zaidi  michirizi  ya  mapajani....
Tofauti  na  hivyo, hivi  sasa  michirizi  hiyo   imekimbilia  kifuani  na  mabegani  hali  inayoashiria  kwamba  siku  si  nyingi  itahamia  usoni...
"Ukweli  Wema  Sepetu  sasa  amebaki sura  tu,mwili  umemtupa  kabisa .Nadhani  hii  yote  inatokana  na  matumizi  mabaya  ya  mikorogo"...alisema  shuhuda  mmoja  akimtazama  Wema sepetu  aliyekuwa  jaji  katika  shindano  moja  la  umiss  jijini  Dar

Baada  ya  kumsikia  shuhuda  huyo  akimtoa  kasoro  mrembo  huyo, mwandishi  wetu  alitinga  nyumbani  kwa  Wema  Sepetu  kufanya  naye  mahojiano  juu  ya jambo  hili
Alipofika  nyumbani  hapo, mwandishi  wetu  aligonga  geti  na  kufunguliwa  na  dada  mmoja  ambaye  alidai  kuwa  maadam Wema  alikuwa  amelala  na  kwamba  hawezi  kuamshwa mpaka  aamke  mwenyewe..

MTAA WA "NGONO" WAGUNDULIWA SINZA CORNER BAA...MAKAHABA WAJIANDAA KUUA ASKARI

NI hakika ‘mtaa wa ngono’ umefumuliwa! Sakata hilo lilijiri saa tisa usiku, Ijumaa iliyopita, Barabara ya Shekilango, kuanzia Bamaga hadi Sinza Mori jijini Dar eneo ambalo makahaba wameligeuza chumbani, Operesheni Fichua Maovu ‘OFM’.
KWA NINI MTAA UFUMULIWE?
Kwa mujibu wa takwimu za kiserikali, eneo hilo
(kuanzia Bamaga hadi Sinza Mori) limekubuhu kwa wasichana kujiuza nyakati za usiku huku makao yao makuu yakiwa eneo la Afrika Sana hasa pembezoni mwa Corner Bar.
Mmoja wa viongozi wa serikali ya mtaa ya eneo hilo ambaye aliomba jina lake lisiandikwe  alisema:
“Tumejitahidi sana kushirikiana na polisi ili kutokomeza ukahaba eneo hilo lakini wapi! Hawa mabinti ni wabishi, mbaya zaidi wamelifanya eneo hili kuwa la ngono.
“Watoto wetu wanapita usiku pale wanawaona wanavyofanya, wanatuharibia kizazi kijacho, kama wao wamejishindwa wasiwaambukize wengine.”
TIMU ILIYOENDESHA OPERESHENI
Siku ya tukio, saa tisa usiku,  askari wa ulinzi shirikishi walijipanga kwa ajili ya kuufumua mtaa huo huku wakiwa na tahadhari kufuatia habari za kiintelijensia kudai kuwa, makahaba hao walipanga kuua mtu punde watakapovamiwa.
Askari hao wakiwa kwenye doria ya kila usiku, waliwavamia makahaba hao eneo lenye majani madogo katikati ya Afrika Sana na Mapambano upande wa yadi ya Mwanamboka wakiwa na wateja wao wakifanya ngono hadharani.
NUSURA DAMU IMWAGIKE
Katika hali iliyoonesha makahaba wamejiimarisha kwa ulinzi siku hizi, wakati wa zoezi hilo, machangu hao sanjari na vibaka  wanaowaunga mkono wakisemekana ni ‘walinzi’ wao, waliokota mawe na kuwarushia askari hao hali iliyozua tafrani zaidi.
Ndipo piga nikupige ilipozuka ambapo askari walionesha umahiri wao wa kupambana na wahalifu kwa kuwadhibiti kwa vichapo vya hapa na pale na kufanikiwa kuwaweka wengi chini ya ulinzi.
Kuona hivyo, baadhi ya makahaba na wateja wao walifanikiwa kuwachoropoka askari bila nguo na kutokomea gizani hivyo kulifanya eneo hilo kuwa jeupe.
WENGINE WAKIMBIA NA KUACHA NGUO ZA NDANI
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, baadhi ya makahaba waliokimbia walijikuta wakiacha kwenye majani nguo zao za ndani na kuzua maswali kwamba ni kwa nini hawakuwa wamezivaa!
“Jamani hizi si nguo zao za ndani? Ina maana wakiwa kazini hawavai siyo? Wanakuwa tayaritayari kwa kazi? Jamani!” alisema kwa mshangao mkubwa mmoja wa askari hao.
MAKAHABA WALIONASWA WALONGA
Licha ya kuwa chini ya ulinzi mkali, baadhi ya makahaba walionaswa walikuwa wakiwalalamikia askari hao kwamba wanawafuatafuata wakati kila mtu siku hizi anaangalia atakulaje!
“Mnatuonea bure, nyie mnakula kivyenu na sisi mngetuacha tule kivyetu, hao watoto wenu mnaosema tunawaharibu usiku huu wao wanatokea wapi na wanakwenda wapi?” alisikika akisema kahaba mmoja aliyekuwa mtata kuwekwa chini ya ulinzi.
Mwingine akadakia: Kama mnataka tuwape uroda si mseme, mnatukamata kila siku kwani tunawatibulia nini majumbani mwenu? Lini tumekuja kuwaghasi wakati mmelala na wake zenu?”
Uchunguzi wa kawaida ulibaini kuwa muda rasmi wa makahaba hao kuwasili eneo la Corner Bar ili kuanza ‘kazi’ ni saa mbili usiku japokuwa wapo wanaoripoti mapema na kufanya biashara hiyo kwa wizi kulingana na wateja wenye ‘kiu’ nyakati hizo.

AHADI YA MAKAHABA
Licha ya kuwa chini ya ulinzi, makahaba hao waliahidi endapo watapelekwa polisi na kutoka watarejea eneo hilo kujiuza kwani ndiyo ajira inayowafanya waendelee kuishi katika Jiji la Dar es Salaam, kusomesha watoto vijijini kwao na kuwasaidia wazazi wao mahitaji mbalimbali.
“Hata kama mtatupeleka polisi, tutarudi tu hapa, sisi tunasomesha watoto, tunasaidia wazazi wetu vijijini, pia tunaishi Dar kwa sababu ya kipato hiki cha kuuza miili yetu, acheni hizo,” mmoja wa makahaba hao alisema bila kumung’unya maneno.

MWENYEJI WA MTAA ANENA
Akizungumza na paparazi wetu eneo la tukio, mkazi mmoja wa eneo hilo ambaye pia ni askari wa ulinzi shirikishi alisema:
“Kufuatia vitendo hivi kushamiri hapa mtaani hadi kufikia hatua ya makahaba na wateja wao kufanya ngono hadharani kama wanyama, tuliamua kukimbilia polisi kutoa taarifa, kwa hiyo tuna baraka za serikali za kuwatokomeza hawa machangu.”

NDIYO DAWA?
Mapaparazi wa Global Publishers wana uzoefu na makahaba wa mtaa huo unaoanzia Bamaga hadi Sinza Mori, ni wagumu kubadilika.
Mara kadhaa, OFM imekuwa ikiwafumua makahaba hao lakini siku inayofuata wanarudi tena na kupiga kambi kama hakuna tukio lililotokea jana yake!
OFM waliondoka eneo la tukio na kuwaacha askari hao na ‘watuhumiwa’ wao wakisubiri namna ya kufika kwenye Kituo cha Polisi Kijitonyama ‘Mabatini’, Dar kwa hatua zaidi za kisheria.

WASICHANA WATENGENEZA JENERETA INAYOTUMIA "MKOJO" BADALA YA MAFUTA Read more: http://vitukovyamtaa.blogspot.com/#ixzz2XECSEF3i

WASICHANA wanne kutoka Nigeria wamegundua jinsi ambacyo mkojo unaweza kutumika kama mafuta ya kusukuma jenereta. Wasichana hao, Duro-Aina Adebola,Akindele Abiola, Faleke Oluwatoyin na Bello Eniola, wote wenye umri wa miaka 14 wamefanya maonyesho ya jenereta hilo na limeonekana kufanya kazi.

Genereta hilo linaweza kufanya kazi kwa muda wa saa moja likitumia lita moja tu ya mkojo. Linauwezo wa kuendesha vifaa vinavyotumia umeme wa kati kama vile taa, jokofu, redio, televisheni n.k, Sasa genereta hilo linafanyaje kazi?

Kwanza mkojo huo unawekwa kwenye chombo kiitwacho electolytic cell, ambacho hutenganisha mkojo huo na hydrogen. Kisha hydrogen hiyo huenda moja kwa moja kwenye chujio la maji kwaajili ya kuisafisha na kisha kuisukuma katika gas cylinder.

Hiyo gas cylinder nayo huisukuma hydrogen mpaka katika kitu kinachoitwa, liquid borax ambayo huisukuma hewa hiyo na kuliwezesha jenereta kufanya kazi.

TBL FAMILY DAY YANOGA

 Wasanii wa kikundi cha  sanaa cha Afrigay Talent Base cha Magomeni Dar es Salaam, kikitumbuiza wakati wa hafla ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tvanzania (TBL), kufahi pamoja na familia zao Kunduchi Water Park, Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Fedha wa TBL, Kelvin (kulia), akimkabidhi George Magombeka zawadi ya saa ya ukutani baada ya kuwa mshindi wa riadha katika bonanza hilo la kukata na shoka lililofanyika Kunduchi, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Meneja Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo (kulia) akimkabidhi zawadi  .Mbwana Milanzi baada ya kuwa mshindi wa kwanza wa mbio za magunia katika hafla ya Siku ya wafanyakazi wa TBL kufurahi na familia zao kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam.
 Meneja Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo  akimkabidhi zawadi  .mmoja wa washindi wa riadha kwa upande wa wananwake. Kulia ni Mhandisi Ujenzi wa TBL, John Malisa.
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kucheza kushindana kuvuta kamba katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam, wakati wa sherehe 'Tbl's Family Day'.
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kucheza soka katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam juzi, wakati wa sherehe 'Tbl's Family Day'.

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kushindana mbio za magunia katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam, wakati wa sherehe 'Tbl's Family Day'.
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kushindana mbio za magunia katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam juzi, wakati wa sherehe 'Tbl's Family Day'.
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kucheza mpira wa wavu katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam, wakati wa sherehe 'Tbl's Family Day'.

 Watoto wa familia za wafanyakazi wa TBL, wakifurahi kwenye moja ya mabwawa ya kuogelea.

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kushindana kucheza mpira wa kikapu ndani ya maji eneo la  Kunduchi Dar es Salaam juzi, wakati wa sherehe 'Tbl's Family Day'.
 Meneja wa Kiwanda cha TBL, Dar es Salaam, Calvin Martine akimkabidhi zawadi mmoja wa watoto waliofanya vizuri kwenye michezo.
 Mmoja wa watoto akichorwa usoni wakati wa hafla hiyo.

                                                          Sasa ni wakati wa maakuli.

                                                        Ni msosi kwa kwenda mbele.
 Muziki wa dansi nao haukukosa.
Wakishuhudia mambo burudani mbalimbali zilizokuwa zinatolewa katika hafla hiyo.

BREAKING NEWSSSS!!!!!!!! TAPELI LA FACEBOOK KUWENI MAKINI KINADADA

Wakina dada jaman kuweni makini na huyu kaka anatumia jina  AHMED MOHAMED MOHSEN facebook, namba yake 0717808986 kazi yake kutapeli wadada kwenye mitandao na gia yake kapata ajal, wengine anawatongoza alafu anakukopa anadai amepata ajali so kuweni makini jaman.. 
mimi nilisikiaga habari zake sasa naona leo kaamua aje kwangu KAINGIAJE CHAKA!!! mimi mwenyewe tapeli lol!! alivyojua namjua akaniblock kabsa na fb kwenyewe ila jna la tigopesa nimechek anaitwa HAJI REUBEN

ebu chek chat ze2
 
  • Conversation started today
  • Ahmed Mohamed Mohsen

    V got a bad accident my dear,
    I'm not ok, I'm still here, theyv stolen my laptop, my
    phone and 780 thousand which was in my laptop bag,
    am so stuck here I dnt have ma lisence with me and
    the guy I ran into wants me to pay hm 160 thousand
    and I just hav 70 here I dnt have a phne m using my
    ipad, I'm so comfused my dear if u cn plz help me when
    I get off here ill repay u evn double tha amount plz
  • Zay Mselemu

    pole jaman nkusaidieje sasa kaka yangu?
  • Ahmed Mohamed Mohsen

    Plz borrow me tha remaining amount so I pay this guy and get back to town, ill repay u any amount u want when a get to town I just wana get off here b4 the trafic find me here plz
  • Zay Mselemu

    kwan upo wapi?
    • Ahmed Mohamed Mohsen

      Mlandizi I was on ma way to morogoro
    • Zay Mselemu

      duh pole sana, sasa ntakutumiaje wakat auna sim alafu sikujui ntakuamini vipi kama utanirudishia?
    • Ahmed Mohamed Mohsen

      I have a line nayotumia kwenye ipad, zay I knw hunfahamu but wallahi nipo na shida, tarfic wakija l be n more trouble and the car ni ya ofisini and leseni nmesahau naeza kupoteza kazi yangu nakuomba sana wallahi ill pay u back right when I'm done here
    • Zay Mselemu

      kwanini usiwaambie ndugu zako?
    • Ahmed Mohamed Mohsen

      Nmejarbu kutext kwenye facebook bt hawajajibu, mayb hawajapata bado and I need help imediately my dear plz nakuomba I'm begin u plz help me
    • Zay Mselemu

      nitumie picha zako ukiwa eneo la ajaliniakikishe

    • Ahmed Mohamed Mohsen

      My ipad haiwez upload picha kwa facebook, zay wallahi I'm not lyng to u plz believe me npo na shida sana and I knw hunfahamu vizuri but sina option nyingne das y I'm asking u and iv tried askn othr people wamejbu hawana plz kama unayo nakuomba nisaidie the number is 0717808986 I swear on my living god I'm gona pay all ur money back today right aftr I'm done here plz I'm beging u
    • Zay Mselemu

      mbona mimi ipad yangu inakubal kuuplod pcs au ww yako ipi?
    • Ahmed Mohamed Mohsen

      I'm using ipad 2 cjui inatatzo gani huwa situmii mara kwa mara, zay nakuomba nisaidie plz nionee huruma
    • Zay Mselemu

      mm pia nna ipad 2
      na naweza kuupload,
      aya wataka sh ngap?
    • Ahmed Mohamed Mohsen

      Anataka 160 thousand and mm nna jst 70 hapa, imepungua 90 thousand

    • Zay Mselemu

      utanilipaje?
    • Ahmed Mohamed Mohsen

      Ntakutumia kwenye simu, au hata ntakuletea ukitaka all I need is to get off here b4 trafic gets here das all, if I get to town I swear l pay u back. Verry deerly
      Plz zay I'm beging u plz plz
    • Ahmed Mohamed Mohsen

      Y r u quiet on me? Plz say smtn
    • Zay Mselemu

      sina hela mwaya
      mimi pia natafuta wa kumtapel apaaa
    • Ahmed Mohamed Mohsen

      Thanx a lot kama ndio umeamua unifikirie hvo, god bless u
    • Zay Mselemu

      kwan nan akujui kaka kama ww tapel maarufu mjn??

    SOURCE:ZEDDYLICIOUS BLOG
TOA MAONI YAKO HAPA