Hiyo Jana kwenye Msiba wa Langa Kileo Mikocheni Jijini Dar es Salaam.

LANGA1

UPDATE: WAOMBOLEZAJI WAANZA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU LANGA!

Jun 17 • Wasanii • 492 Views • No Comments

Mwili wa Langa Kileo ukiwa nyumbani kwao Mikocheni Jijini  Dar.
Langa enzi za uhai wake.…
 
Mwili wa Langa Kileo ukiwa nyumbani kwao Mikocheni Jijini  Dar.
Langa enzi za uhai wake.

Ndugu wa marehemu wakiaga.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Langa.
Ridhiwan Kikwete (kushoto) akiwa msibani.
Taratibu za mazishi ya msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Langa Kileo zimeanza rasmi ambapo leo asubuhi ameagwa na familia yake nyumbani kwao Mikocheni Jijini  Dar. Waombolezaji wengine watapata muda wa kumuaga mwanamuziki huyo saa 7 mchana na mazishi yanatarajiwa kufanyika Makaburi ya Kinondoni jijini saa 9 alasiri.