Aunt Lulu huku akivunja amri ya sita (6) atoa onyo kali...
01:43Limekuwa ni jambo la kawaida kwa aunt lulu kubadilisha wanaume kama nguo........
Hivi karibuni alikumbwa na kashfa ya mwaka baada ya kutimuliwa alikokuwa amepanga kisa kikiwa ni kufanya mapenzi chooni hali iliyomfanya akajihifadhi GEST HOUSE kwa muda
0 comments:
Post a Comment