Mange Kimambi Aanika Ugomvi wake na Rachel Temu Mdogo wa Hoyce Temu Kwenye Mtandao


Uwiii nisameheni jamani, najua this week nimekuwa mswazi kupitiliza... Jamani huyu ndo wamwisho.... Wanasemaga save the best for last....
Yani kati ya ya watu wanaonifyatilia issue zangu nawachunia huyu ndo number moja. Alafu hachoki miaka na miaka.

Anayway to cut the story short, rachel alinikosea back in 2008 ila akaniomba msahama vizuri nkamsehe. Enzi hizo 2008 mie nilikuwa sijazoea kutukanwa yani kidogo nife na presha jinsi alivyonitukana nilikuwa very sensitive yani. Ila nikamsamehe.
 

Alivyoniomba msamaha tu nikamsamehe.......



Yani nilikuwaga kapole sana and very sensitive..... Nikamsamehe kwa roho safi ila kila mtu aende kivyake...
kumbe mwenzangu kaniwekea chuki sababu ya kusema staki tena kujuana nae.

Rachel the reason sikujibu matusi yako FB sio kwamba sioni au nakuogopa, ila Dada yako Hoyce aliniomba sana. Na huwa anakuombea msamaha unapotukana watu facebook.  Ungejua unngeacha unamtesa dadako ambae ni msomi na katulia na familia yake. Unapotukana inabidia aanze kutafuta waliotukanwa akuombee msamaha atuarifu wewe ni mwendawazimu tukuache tu. That's why tunakuacha, we respect your sister. MTu hadi unamtukana dadako Facebook unadhani mzima wewe.
Hoyce I am really sorry for publishing the emails that you wrote to me in confidence ila huyu mdogo wako amenipush sana this time. Ngoja tu ajue kwanini watu hatumjibu . Ni kwa heshma yako tu.
 
 
 
Kuna wakati bibie alitumwagia mitusi mimi na yoyote aliekuwa rafiki yangu kipindi hiko, hakutuchagulia tusi.
So dadake akatu forwadia emails alizokuwa anamkanya mdogo wake. Ikabidi mpaka atag na ndugu wengine ili wajue hamuonei huyu black sheep wa family...
si mnajua kila family lazma kuna mmoja atatokea ambae lazma awe hasara au laana kwa family.Kwa familia ya Temu ni Recho.
 
 
Kutwa kuongea ya watu MBONA yaha yako husemi?Ntakuona wamaana siku ukiweka status fb ukasema
jamani oneni im a convicted thief. Nilideportiwa usiku usiku na pingu mikononi..
Hivi ulikuwa unaenda shule saa ngapi na mahakamani saa ngapi??? it seems u spent all ur time mahakamani as a defendant.
You are a careeer criminal mama.....


Mwanamke you are over 30 yrs old, huna  bwana, huna mume, yule mpishi wa kihindi umemua advertise facebook weeeee kanawa mikono, huna elimu zaidi ya cheti chako cha form 6 from makongo, kutwa kufukuzwa kazi, Ulianzia kempinski wakakutimua ,
ukatafutiwa kazi Grumeti maana dadako aliona huwezi kuishi na binadamu basi ukajaribu kuishi na wanyama porini, ukaenda kuwa Afisa  Chunga wanyama porini huko. Tukapumzika kidogo na matusi facebook
maana kule porini network hadi utegeshee kwenye kimlima, Huko nako huku last wanyama wenyewe waligoma wakataka kuvuka mpaka waende Kenya jinsi unavyoboa.
Umerudi mjini sijui unajishikza wapi sasa hivi, ila huko nako utatimuliwa kwa tabia zako.
Sijui wanajua kwanza una crimina record marekani ndefu hivi???? Do they know they have hired a convicted thief????

Anyways Rachel naamini wala hanichukiii, kinachomuuzi ni kwambia who do i think i am mpaka staki kupatana nae? thats all. Maana last yr, 2 weeks before i came to the US, Cynthis Masasi called me, sasa sijui Huyu chizi fresh ndo alimpigia kumwomba atupatanishe au Cynthia mweneywe thought of it sijui, Ila She called me akasema kaongea na Rachel, Rachel kasema yupo tayari tukae tuongee, tusameheane, akasema yeye alikuwa ananitukana sababu sijui niliweka comments za kumtukana humu, i just thought wewe mastatus yale ya kunitukana you thought sitokujibu. Akasema Rachel yupo tayari ku forgive and forget , tukae chini tuyaongee, mkutano ulitakiwa kuwa sea cliff if i remmber right. Yani it didnt even take me a minute to tell Cynthia what my stand was . Nkamwambia Cynthia huyu mwanamke just 3 days ago kaweka status ingine ya kunitukana, today she is ready kupatana na mimi is she ok?? Nkamwmabia mwambie naomba tusameheane kwa mbali, sina kinyongo nae nimemsamehe, ila staki kukutana wala kuongea kila mtu aendelee na life yake. Cynthia akajaribu kunisihi, Mama Max wa watu she was very diplomatic, nkamwmabia Mama Max namjua RACHEL fika she was my friend before and i know we can't be friends wala nini, mi naomba tu tusameheane kwa mbali. kila mtu amweshimu mwenzie,. Bidada huko sasa sijui Mama Max alimjibu nini, nahisi alikuwa keshavaa zile skin tight na mabuti yake ya mwakae 47  anaeda sea cliff kupatanishwa na Mange Kimambi. hehehhhehehhe...... Sijui kilichoendelea pande hizo kwa kweli baada ya mimi kutoa jibu, all i know is alikaa 1 good month bila kunitukana wala kunitaja, akawa anatukana watu wa media sijui kina nani, ghafla been vup mwaka huu kaanza tena upyaaaaaaaaa.... Naona hata Cynthia huko anashangaa ile cease fire iliishia wapi...lol.... Na matusi yote aliyotukana hata siku moja hajawahi kuongelea hili jambo  Cynthia kutupatanisha, kumbe kichaa chako sio cha full time??? unajifanya unajua kutukana mbona hili hujasema????? Sababu watajua deep down unatamani kuwa na mimi? Naomba uache kuning'ang'ania kama mie mwanamke wako, im not a lesbian, usinifananishe na Devota (Sio devota Diva, anamjua mwenyewe Devota nani).  Nna baby yangu ananifundisha taratibu, Uwiiii wapi baby ya Mange,??? hehehhe
Huyu mwnaamke last yr ndo alikuwa anweka status facebook ' hivi inakuwaje mange kaolewa na mzungu analafu kanyimwa visa ya kwenda marekani"  Mie nakaa kimya nkasema huyu ngoja atapata surpise yake soon. Tatizo Rachel anaonaa marekani kama mbiguni. Maisha popote wewe, Tatizo wewe ulitolewa marekani na mbingu mikononi hamu yako bado ilikuwa haijaisha ndo maana unaona marekani ndo mbiguni. Ungejua kama ningeweza ningeishi bongo ningekaa bongo nipo huku sababu ya ndoa tu.
Rachel kama unadhani utanitukana matusi mpaka ni surrender tupatane tuwe mashoga, you are soooooo wrong. We will neevr be friends, hata umtume nani, All i can do is forgive you and wish you the best in life.  But friends hell no. Get that???? Kama wewe kichaa kweli kaandike status facebook  kuhusu issue ya Cynthia kutupanisha ukavaa na skin tights zako ukapatane na the great Mange Kimambi nikakunyali??? Utaota hiyo siku ya kukaa chini na mimi hadi kifo chako, it will never happen. All you can do is stay bitter, utukaneeeeee. It must  hurt really bad mpaka dada yako mzazi ana side na outsiders kwa jinsi ulivyo hauko normal.
kuna wakati alisema home wameanza maombi once a week kukuombea akili itulie, naona Mungu hayuko tayari kupokea sala, Si haba naamini kuna siku Mungu atasikia sala za familia yako na atakupa utulivu wa akili.

Jamani naumwa mgongo, vidole, shingo, kila kitu, nimeandikajeeeeeee..... nisameheni, leo ndo mwisho... nilitaka tu ajue sababu 2 muhimu kwanini simjibu.
1. Sababu ya Heshma ya dadake Hoyce Temu, alieniomba niistiri familia yao kwa kumu ignore huyu black sheep wao.
2. Sababu ni Criminal - I can not associate myself with a person with such a long criminal record, Yani huyu angeendelea kuishi US angefungwa kwa jinsi alivyo mwizi.