HABARI
za kusikitisha zilizopatikana muda huu zinaeleza kwamba, msanii mkongwe
wa Taarabu Visiwani Zanzibar Fatma Bint Baraka al Maarufu kama
Bi.Kidude amefariki. Bi.
kidude ambaye amekuwa akizushinwa kifo mara klwa mara katika siku za
hivi karibuni inasemekana amefariki asubuhi ya visiwani humo. Sports Lady itakujuza taarifa zaidi. Inna Lilallah Wainnaillaih Rajuun.
About The Author: admin
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Suspendisse gravida tempus quam vel laoreet. Duis iaculis nulla non urna semper placerat. Sed eu lorem quis magna hendrerit dignissim eget eget augue.
0 comments:
Post a Comment