DOGO JANJA ASHINDWA KUFIKISHA ALAMA 30 KATI YA 100 ZA KUINGIA KIDATO CHA TATU BAADA YA KUFELI MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA PILI

Leo katika interview ya XXL Dogo Janja alikiri mwenyewe kwa kusema kuwa ameshindwa kuingia kidato cha tatu kwa kukosa alama tatu za mtihani wa taifa wa kidato cha pili uliofanyika mwaka jana.
Lakini alipoulizwa suala la shule na muziki alisema kuwa yeye vyote anavidumu kwa kuwa anaamini anachofanya, lakini alipoulizwa kwanini anathamini mziki na kuacha kwenda shule alifunguka hivi 
" Unajua nini Bro Money first........mimi najiamini bhana natumia miguu miwili siwezi kata mmoja"