23:24
Hali ya maisha inawalazimisha watu kufanya mambo ya hatari kabisa kwa uhai wao.
Pichani ni kijana mwenye umri wa miaka 14 akitoa maelezo baada ya kusaidiwa kutoka kwenye chassis ya basi alilokuwa amejificha tangu Dar es Salaam mpaka Dodoma.
0 comments:
Post a Comment