Hii ndoyo Kata......................................

Kwa wale wenzangu na mie wanaopenda kuiga kila kitu. haya sasa kumetokea ongezeko la kata kundu kutoka kata kiuno. Mchina mmoja maeneo ya Bamaga ndivyo nilivyomkuta kwenye kaunta ya supermarket.