Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati wa maziko ya Bi. Kidude

Wananchi wa unguja wakiwa wamebeba mwili wa mwanamuziki mkongwe Bi. Kidude. Inasemekana Diamond aing'ang'ania maiti.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida,  mwanamuziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul’ Diamond’ aling’ang’ania kubaki ndani ya chumba chenye mwili wa marehemu (angalia picha uk.2)  hata baada ya  tangazo la kuwataka watu watoke. Katika hali isiyokuwa ya kawaida,  mwanamuziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul’ Diamond’ aling’ang’ania kubaki ndani ya chumba chenye mwili wa marehemu (angalia picha uk.2)  hata baada ya  tangazo la kuwataka watu watoke. 
“Nimemshangaa sana Diamond,  wenzake wote tumetoka ndani lakini yeye kang’ang’ania kubaki na maiti,” alisema mwombolezaji mmoja.…