HIZI PICHA ZA BEYONCE ZA SHOW YAKE SERBIA ZIMEFANYA AANZE KUZUNGUMZIWA SANA TOKA JANA

 Hizi picha ni za jinsi mwimbaji Beyonce alivyokua amevaa huko Belgrade, Serbia siku ya jumatatu kwenye usiku wake wa kwanza wa mfululizo wa show zake za Mrs. Carter Tour, uvaaji wa hili vazi ndio umefanya hizi picha zichukue headlines kwa uzito kwenye Internet.