Kajala Masanja Ajichora Tatoo ya Wema Sepetu Mgongini Kama Ishara ya kumshukuru kwa kwa kumtolea zile milioni 13

Kama aikuwa uanadamu wa wema ilikuwa almanusura Kajala afungwe kwa kosa la utengenezaji wa fedha feki za kitanzania. Ni pale Mahakama ilipotoa adhabu ya kifungo au vinginevyo kulipa faini ya shilingi milioni 13.