Kikao hiki cha Bunge. Mnyika kashikwa na nani ndani ya bungeni?


Naona licha ya Akina MWIGULU kurusha tuhuma nzito bungeni, naoma msemaji wa Chama, mbunge kijana,msomi na mtoto wa Mjini Ubungo naona kapwaya. Kimya na wala simsikii kujenga Hoja nA KUKITETEA chama
Lakini hata nje ya bunge naona ameingia maji..
We Need Your Views Bro...
TOA MAONI YAKO HAPA