Kiuno ndo hichoooo Ena imekolea sehemu yake

Kimepakwa ena teyari kabisa kwa sindimba maeneo ya temeke mwembe yanga. Wacha kabisa watoto wa maeneo hayo si mchezo.