Lady Jay Dee Afunguka Tena "Naamini Kabisa kuwa Mungu Sio Ruge wala Kusaga, Atanisimamia Kwenye Hili:

Baada ya mafumbo mengi na vijembe huko twitter na bbm hatimaye mwandana komandoo na super star Lady Jay Dee ameamua kufungua na kutaja majina ya hao watu wenye beef nae kupitia ukurasa wake wa twitter. Jide amefungua na kupodt yafuatyao
Dah naskia jana kwenya interview yake na TBC alimchana Ruge live, tunajaribu kuifuatilai interview hiyo na tutawaletea hapa live kila kitu alicho kiongela super star huyo. Stay tuned!



Hizi hapa chini ni baadhi ya 'tweets' zilizotumwa na msanii huyo hapo nyuma

Lady JayDee ?@JideJaydee
Hata nyimbo zisipopigwa now mi sio underground, won't complain. Nani asiemjua JayDEe? Am not crazy

Lady JayDee ?@JideJaydee
Basi mjue kuwa tatizo langu sio nyimbo kutopigwa redioni. Its more than that. U dig??

Lady JayDee ?@JideJaydee
Now nategemea nguvu ya uma #diehardfans

Lady JayDee ?@JideJaydee
Na tweet hivi sbb sikuwahi kulalamika nikaamua kufanya kazi. Lakini kazi inapowekewa uzito wa jiwe isipenye. That's another case...
TOA MAONI YAKO HAPA