Mama mmoja wa kiganda alipopiga biti la kumtaliki mumewe

Mama alipiga mzee wake mkwara wa hatari alafu akiwa anataka kuondoka mara gafla akaamua kurudi nadhani alizingatia uwepo wa mrembo mwingine iwapo ataondoka.