MFULULIZO WA PICHA NAMNA WAPENZI WALIVYOGOMBANA NA KUISHIA KUPEANA KISS MAENEO YA KONA BAR "MAPENZI KIZUNGUZUNGU"

 Mwanamke ashusha kipigo kwa mwanaume aliyedaiwa kuwa ni mme wake Bar, kwa madai ya kutoonekana nyumbani! Tukio hilo lililtokea eneo la Corner Bar Sinza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Wakazi wa Dar es Salaam wakishuhudia kichapo alikuwa akishushwa mwanaume huyo.
 Mwanamke akishusha pumzi baada ya kupunguza hasira zake
 Akitafakari baada ya kumpiga mwanaume huyo.
 Mwanamke huyo akimhoji mwanaume huyo kabla ya kumaliza ugomvi
 Mwanume akimkumbatia kumtuliza huku akilia
Ugomvi ukifikia ukingoni