Mwanamuziki Jagua kuwa mmoja wa performers kwenye Kenya Presidential Swearing In (Uhuru Muigai Kenyatta) Hapo Jumanne

Jagua Amepata special Mualiko kufanya performance siku ya kumuapisha Raisi wa Nne wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta. Jagua amekuwa full time Jubilee tangu kampeni mpaka mwisho Heko Jagua akikisha unapiga nyimbo ya Kigeugeu kumbusha hao majamaa hapo Statehouse  mazee