My Ex Anataka Nimwazime Hela!

Habarini za ucku wapendwa.jaman kuna siku niliweka post hapa kuwa nimemmis my ex nahtaji msaada wa kumsahau,nawashukuruni kwani mlinipa pole,kunifarij na mawazo pia thenk u sana kwan naendlelea na mambo yangu bila .kama tittle ijielezavyo,toka juz j2 my ex amenitext kuw anaomba nimwazime kiasi fulani cha hela,uwezo wa kumpa hel hyo ninao na japo hatukuachana kwa ugomvi but ctak kuendelea na mawasiliano naye.kanitumia text nyingi akidai nimsaidie cjajibu hata moja,toka jana ananipigia sim sipokei,je nafanya vibaya au nipo sahihi?