TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA ENEO LA MNADANI MSALATO MKOANI DODOMA

Baadhi ya wananchi wakipita kujipatia kitoweo cha mbuzi eneo hilo la mnadani, Msalato mkoani Dodoma.

Vijana wakiandaa nyama ya mbuzi kwa ajili ya wateja wanaomiminika…