Tehe tehe hii kali................

Jamaa kaingia msikitini na panga na kuuliza nani mwislam hapa? Watu wakapiga kimya, akauliza tena,
 nani mwislamu hapa?? halafu akamchukua mtu mmoja na kwenda nae nje na kumwomba amchinjie mbuzi.
 Halafu akarudi msikitini na panga yenye damu na kuuliza tena, "nani mwislamu hapa?"
 waumini wakamnyooshea imam kidole kwamba ndo mwislamu, Imam
 akasema, "jamani mi kuswalisha siku mbili tu ndo mniite mwislamu?" mi hapa najifunza tu" halafu
 jamaa akasema "nataka unisaidie kumchuna mbuzi wangu"