USIPITWE NA HII YA AVRIL NA OMMY DIMPOZ KWENYE UJIO MPYA WA MEI MOSI


Siku ya mkesha wa kuamkia sikukuu ya wafanyakazi "mei mosi", Msanii kutoka Kenya Avril anatarajia kuzindua single yake aliyomshirikisha Ommy Dimpoz huku perfomace za wasanii kutoka Kenya na Bongo zikitawala