Wabongo wanaiba mpaka kunako

Damn!!! they have just stolen my iphone these Bongo guys are extra expert not a joke. Ndivyo mama huyu akiwaelezea wenzie baada ya kushuka stendi ya basi Mwenge na kukuta iphone yake aliyoifadhi ndani ya mkwega imetokomea bila yeye kuguswa mambo ya sumaku haya.