Wanga akamatwa huko Shinyanga

Hii hali sasa imekua tete, kama mnakumbuka wiki tatu zilizopita tuliwaletea habari ya mwanga aliyekamatwa huko arusha akiwa anawanga kwenye nyumba ya mtu akiwa uchi, sasa hivi hii imetokea huko shinyanga. Bibi huyu alikamatwa baada ya kudondoka na ungo wake aliokuwa akisafiria, bado haijajulikana alikuwa anaelekea wapi......Balaaaa!!!!