Baada ya Kufukuzwa Kwenye Kipindi EATV kwa Kuvaa Ndala sasa Juma Nature Anzisha Biashara ya Kuuza Ndala
04:37Akiongea na XXL ya Clouds FM, Nature amesema tayari ameshasaini mkataba na kampuni moja kuanza kuuza ndali hizo ziitwazo Halisi na wiki ijayo zinaweza kuingia mtaani.
0 comments:
Post a Comment