BREAKING NEWS: MARTIN FUNDI KUTOKA KIMARA NDIYE THE VODACOM MIC KING 2013


TUZO ya The Vodacom Mic King 2013 imekwenda kwa Martin Fundi kutoka Kimara. Mkali huyo kutoka Kimara jijini Dar es Salaam ndiye aliyejishindia gari mpya aina ya Funcargo (New Model) na kuwabwaga washiriki wenzake watatu waliokuwa wanawania tuzo hiyo. Fundi na wenzake watatu watapata fursa ya kurekodi nyimbo moja moja kila mmoja kutoka kwa Prodyuza matawi ya Juu, Tudd Thomas, ambaye ametengeneza ngoma kali kama Uswazi Take Away ya Chegge, Leka Dutigite ya Kigoma All Stars, Pii Pii ya Marlaw na nyinginezo nyingi. All The Best Martin Fundi.