David Beckham atoa machozi ya furaha wakati alipokuwa akiagwa katika ulingo wa soka





David Beckham alipokuwa na hali ya furaha mpaka kufikwa na machozi wakati washabiki na timu yake walipomfanyia sherehe za kumuaga rasmi anapoelekea kustaafu kwenye ulingo wa mpira wa miguu. sherehe hizo zilifanyika jijini Paris.

Ilikuwa vigumu kwa mchezaji huyu mashuhuri kuvumilia hali aliyokaribishwa na kuagwa nayo akiwa kama captain wa timu ya Paris Saint- Germain iliyomfunga Brest bao 3-1. 


Hivi ndivyo alivyosema mchezaji huyu;

"Tonight was a nice way to kind of go out," said David, 38, after the game was over. "In front of my own fans and in front of the capacity of the crowd that were excited because obviously we've won the league.

"The celebrations have been incredible," he continued. "The emotions started kicking in about 20 minutes before and it was hard to run, let alone kick a ball."