Haya ndiyo Mahips feki yaliyotawala Dar es Salaam


Haya ndiyo yake mahips yaliyojaa jijini Dar es Salaam. Dawa hizi za kukuza hips zimeletwa na wachina maeneo ya Kariakoo ndiko eneo mahususi kwa kujipatia hips hizi feki kila duka la kipodozi utakaloingia lazima kuna krimu ya kukuza hips. hivi karibuni nimepata tetesi kuna chupi hips pia ambazo zimejazwa magodoro pembeni kiutaalam kabisa.