Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati wa maziko ya Jembe Ayoub Mlay

 Gari lililobeba mwili wa marehemu Ayoub Mlay
 Marehemu Ayoub Mlay akiwa anaagwa
 Kaka na Baba mzazi wa marehemu Ayoub Mlay
 Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akielekea kutoa heshima za mwisho
 Hili ndilo kundi la Ayoub lijulikanalo kama "Jembe" famous in Dar maeneo ya Rose Garden
 Marafiki wakibeba Geneza la Jembe Ayoub Mlay teyari kwa kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele
Hili ndilo kaburi la Ayoub likiwa limepambwa kwa maua