Hutuba ya Sugu Bungeni Yasimamishwa, Bunge Laahirishwa Ghafula Mpaka Jioni

Hutuba ya Sugu bungeni yasimamishwa, Bunge laahirishwa ghafula mpaka jioni, kamati ya uongozi yakutana kuijadiri
ni baada ya Zambi kuomba muongozo akidai hotuba ya sugu imejaa uchochezi na uongo wa kuisema vibaya serikali ya ccm.
TOA MAONI YAKO HAPA