In Mombasa: Huyu ni mmoja wapo kati ya wale wasichana waliokutwa wakifanya mapenzi na Mbwa

Kwa Mujibu wa Mtandao wa Kenyan Post Hizi ndizo Picha za Msichana mmoja wapo ambae anakabiliwa na Mashtaka ya kukutwa wakifanya mapenzi na Mbwa huko Mombasa...Walikamatwa wasichana 11 pamoja na mzungu ambae ndiye inasemekana alikuwa akiwalipa wasichana hao kwa kitendo hicho cha aibu.