In Nairobi: Wanafunzi wote kupatiwa Komputa Kenya

Shukrani kwa wachina kwani wanasiasa maarufu nchini kenya watakuwa wamefanikiwa adhma yao ya kuwapatia watoto wa Kenya (wanafunzi) komputa. wasichoelewa watoto hao wa Kenya na waalimu ni kama komputa hizo ni za kweli au la maana walio wengi kati yao awajawahi kuona komputa.