Je! umesikia Lady JD anafikiri kuhama nchi? fuatilia kauli yake
10:22Staa wa bongo kupitia bongo fleva amekanusha uvumi kuwa yeye atahama nchi yake na hichi ndicho alicho kiandika kupitia ukurasa wake wa twitter
''Hivi watu huwa hawajui kutofautisha masihara na ukweli eti? Sasa nihame nchi kwa kumuogopa nani? hahami mtu hapa''
0 comments:
Post a Comment