Mume wangu anipendi
06:21
Kwa jina naitwa Zakia abdul, nina miaka 32, naishi msasani. Nimejaribu kila namna kumridhisha mme wangu lakini ameonekana aridhiki na mimi sasa hivi kaamua kuondoka nyumbani na kumfuata binti mmoja anaishi Namanga (potable) flani hivi. simuelewi nini alichokikosa kwangu na muonekano wote huu. Jamani naombeni ushauri nifanyeje.
0 comments:
Post a Comment