Ni nini kigezo cha mke anayefaa kuolewa?

Salaamu wana vitukoz ,nakuja na wazo lingine likitaka ushauri wenu wa kina. Je ni ipi sifa nzuri zaidi ya zote kwa mwanamke wa kuoa, je ni mwenye sura nzuri na maumbile yenye mvuto au ni mwenye tabia nzuri hata kama hana maumbile yenye mvuto?
TOA MAONI YAKO HAPA