Ni simanzi, vilio na majonzi mazishi ya waliokufa kwa bomu Arusha


Mapadri wa kanisa katoliki wakiwa wamebeba jeneza  lenyenye mwili wa mmoja wa waliokufa katika tukio la kutupwa kwa bomu la mkonokatika kanisa la Olasiti Arusha may 5, 2013. mazishi yaliyofanyika leo 
 
Mapadri wa kanisa katoliki wakiwa wamebeba jeneza  lenyenye mwili wa mmoja wa waliokufa katika tukio la kutupwa kwa bomu la mkonokatika kanisa la Olasiti Arusha may 5, 2013.
 
Mapadri wa kanisa katoliki wakiwa wamebeba jeneza  lenyenye mwili wa mmoja wa waliokufa katika tukio la kutupwa kwa bomu la mkonokatika kanisa la Olasiti Arusha  


Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashmu Josephat  Lebulu  akinyunyuzia maji miili ya waumini wa kanisa hilo waliofariki katika tukio la kurushwa  kwa