Prezzo & Diva ndani ya Penzi....!!!!!!!
00:54Apparently watangazaji wa kike wa Clouds FM humchanganya sana Rapcellency, Prezzo. Kama unakumbuka aliwahi kudai kuwa hasemi wala haongei kwa uzuri wa Dj Fetty.
Na sasa word on the street ni kwamba jicho la rapper huyo mwenye asili ya Kenya na Tanzania limetua kwa mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho, Loveness Diva. Wiki iliyopita, Diva alimwalika Prezzo kwenye show yake na huenda ukaribu huo uliongezeka zaidi siku hiyo.......

0 comments:
Post a Comment