Rapa Chris-Kelly alivyozikwa huko Marekani
12:26
Aliyekuwa msanii wa kundi maarufu la miaka ya 90 Kriss Kross amezikwa
jana na wasanii kama Da Brat,baadhi ya member wa kundi la Escape na
'mentor' wake Produza Jermaine Dupri alikuwepo.
Da Brat aliyevaa kaptula
Tiny ambaye pia ni mke wa TI akiwa na msanii mwenzake wa Escape
Aliyekuwa msanii mwenzake katika kundi la Kriss Kross akionyesha hisia ya huzuni.
Produza Jermaine Dupri alienda msibani akiwa amegeuza nguo ili kuonyesha
kumbukumbu ya jinsi msanii huyo na mwenzake walivyokuwa wakivaa nguo
kwa staili hiyo ya kugeuza.
Enzi za uhai wake Chriss Kelly#RIP amefariki akiwa na miaka 34 na
inasemekana kabla ya kifo chake alitoka kutumia Cocaine na Heroine.





0 comments:
Post a Comment