Safari ya Mwisho ya Ayoub Mlay "Jembe"

MAREHEMU AYOUB MLAY


Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika nyumba ya marehemu Tegeta, bunde nipatapo picha zaidi nitawawekea kuweza kupata maendeleo ya msiba wa kaka yetu, baba yetu, mjomba yetu marehemu Ayoub Mlay.
Familia ya Marehemu Ayoub enzi za uhai wake na familia yake. Kaacha Mke Jane na watoto watatu Erick, Derick na Michelle.