Wema Sepetu Apata Mkataba Mkubwa Awa Staa Mwenye Thamani Kubwa kuliko Wote Tanzania
23:21Kwa mujibu wa meneja wake, Martin Kadinda mkataba huo utamfanya Wema awe staa mwenye thamani kubwa zaidi Tanzania ingawa amesema si kawaida yao kutaja kiasi cha fedha.
Deal hiyo itamuonesha Wema akiwa kama msemaji na sura wa Darling Hair Tanzania.
0 comments:
Post a Comment