HAWA NDIO WAVULANA WA FAMILIA MOJA WALIOTOKWA NA MATITI UKUBWANI
04:56
VIJANA
watatu wa familia moja ya Felipe Ramirez, wamepata balaa kubwa baada
ya kuota matiti yaliyosababisha kuchekwa na vijana wenzao waliokuwa
wakiwaona kuwa ni mashoga.
Vijana hao kutoka katika Jamhuri ya Dominica ni Yeuri (17 ), Gabriel (11) na Daniu Ramírez (12), hata hivyo, kwa sasa wanaishi kwa amani baada ya kufanyiwa upasuaji na kuondolewa matiti hayo.
Baba yao mzazi, Felipe Ramirez alifanya jitihada ya kuomba msaada kupitia televisheni na magazeti ili wanawe wafanyiwe upasuaji kwani walikuwa wakiishi katika mateso kwenye jamii yao.
Baada ya kuomba msaada, Mkurugenzi wa Hospitali ya Marcelino Velez Santana nchini humo, Dokta Pedro Antonio Delgado
aliamua kuwalipia gharama za upasuaji ambao ulichukua saa mbili.
Ramirez, alisema: “Wakati wanaingizwa katika chumba cha upasuaji nilikosa raha kwa kuhofia kama watatoka salama nao waliogopa lakini baada ya kutoka, wote tumefurahi sana.”

0 comments:
Post a Comment