Hii imetokea Mbezi Tangi bovu

 
 
 
 
 
 
 
Tanzania social media trending image: Mwanamke aliyekaa juu ya nyumba yake kwa siku tano kuzuia isipigwe mnada na madalali wa Tanzania Investment Bank eneo la Mbezi Tangi Bovu. Updates: Mahakama imetoa amri nyumba hiyo isipigwe mnada.