
Mimi ni dereva namuendesha mke wa boss yangu toka nimeanza kazi hii
yapata mwk mmoja sasa mke wa boss alianza mitego nikawa namvumilia
kunasiku tulisafiri kwenda mtwara kwny biashara za huyu mama kufika kule
yule mama alilipi chumba kimoja tu nakuniambia tutalala wote
nanikikataa ndy itakuwa mwisho wa ajira nikikubali atafanya mpango wa
kumshawishi boss aniongeze mshahara sikuwa najinsi nikala mzigo bila
hata ya condom basi ndiyo ikawa mchezo kila tukitoka lazima mama boss
anipe mzingo nakiukweli mshahara niliongezewa.sasa jana aliniita
nakunieleza kuwa yeye ni mjamzito na mimi ndy mwny huo mzingo ila
akanishauri niuchune kwa sababu mme anajuwa mkewe ni mjamzito.SASA
WASIWASI WANGU AKIJA KUZALIWA MTOTO ANANIFANANA ITAKUWAJE?NA BOSS YANGU
NI AFISA USALAMA WA TAIFA.naomba ushauri
TOA MAONI YAKO HAPA
0 comments:
Post a Comment