Mtoto wa Kitanzania anayetengeneza application za Nokia
10:52
Mtoto Alvin akisalimiana na Rais wa
Tanzania Mh.Jakaya Kikwete
Tanzania Mh.Jakaya Kikwete
Alvin Walter Makundi ni kijana mdogo wa Kitanzania
anayeishi na wazazi wake nchini Singapore.
Akiwa na umri wa miaka 14 na mwanafunzi wa
kidato cha pili huko Singapore, tayari
ameshatumbukiza jina lake katika orodha ya
wataalamu wa application katika moja ya makampuni
NOKIA, ambapo anatengeneza
applications ambazo anazituma katika
kampuni hiyo ambayo nayo bila hiana huitumia.
Hongera kwa Alvin na wazazi wake pia..
0 comments:
Post a Comment