MWILI WA ALBERT MANGWAIR WAWASILI UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MWALIMU JULIUS NYERERE. VILIO NA MAJONZI VYATAWALA.



Mwanamuziki kutoka kundi la wateule akiwa ameshiba msalaba wa Albert Mangwair baada ya mwili wake kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl.Julius Nyerere.
Baadhi ya mashabiki na wapenzi wa nyimbo za marehemu Albert Mangwair wakilia kwa uchungu Airport jijini Dar es salaam baada ya mwili wa kipenzi cha watu kuwasili.