PICHA:Uchunguzi wa Bomu Arusha jionee mwenyewe





Kutenga mil 100 eti zawadi kwa atakaye mtaja mhusika wa bomu la Arusha sio tu kutufanyia dhihaka wafiwa bali pia ni kuchezea kodi zetu.

Picha zinaonyesha wanajeshi wakikagua tundu la risasi kwenye tank la mafuta la gari la CHADEMA, ambalo lilikuwa likitumika kama jukwaa.
Tank lilipigwa risasi ili lilipuke na kila aliyekuwa jukwaani asingepona. MUNGU YUPO NASI , HALIKULIPIKA. maganda ya risasi yanaonyesha niya bunduki aina ya SMG, Je ni kina nani wanamilik SMG Tanzania??, Yaonyesha bomu halikufika kwenye "target" ,ikabidi watumie risasi za moto.
Wasizunguke msitu, wasituchezee shele... waanze na hao wamiliki wa SMG.
TOA MAONI YAKO HAPA