ACCOUNT HII YA ELIZABETH MICHAEL @Lulu_actress NI FAKE NA SI YA SUPER STAR LULU.

Lulu amefunguka kupitia ukurasa wake wa instagram akilalmikia watu wanao mchafua kwa kufungua account fake kama inavyo onekana hapo juu. Account ya ukweli ya Lulu na kama utapenda kumfollow hi hi hapa  chini