Hivi dada zetu kuna utam gani huko kunani?
02:54Na kwanini hata akipata mswahili mwenzie mapenzi hayadumu kwa muda mrefu atarudi kwa wazungu? Na kingine swahili nao wakuona dada kashawahi kuwa na mzungu na wao huwa kama wanampotezea ni nini behind of all this?
Najiuliza sana ni kwanini....Nijuzeni basi

0 comments:
Post a Comment