Arusha: RAIS KIKWETE ALIPOONGOZA MARAIS WENZAKE KWENYE MKUTANO WA EAC HUKO ARUSHA HII LEO
23:05Marais wa jumuiya ya Afrika Mashariki wakisimama kwa dakika moja kumkumbuka aliyekuwa Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Uganda Marehemu Eriya Kategaya wakati wa ufunguzi wa kikao cha kumi na moja cha Jumuiya hiyo jijini Arusha leo mchana. Katika Hoteli ya Ngurdoto.Kutoka kushoto Rais Wa Burundu Pierre Nkurunzinza,Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
wakati wa ufunguzi wa kikao cha juu cha kumi na moja cha Wakuu wa nchi
wa jumuiya ya Afrika Mashariki kilichofaniyka jijini Arusha.
0 comments:
Post a Comment